Kabla ya kuanza, andaa haya kama nyaraka za Word:
- Ukurasa wa kichwa — waandishi, taasisi, ORCID, barua pepe, shukrani, tamko la maslahi, taarifa ya ufadhili na michango ya waandishi.
- Mswada usio na utambulisho — maneno 8,000 hadi 10,000 pamoja na marejeo, ikisiri ya maneno 150, maneno makuu 4–6, APA toleo la 7, Arial pointi 11, nafasi ya mistari 1.5. Majina ya waandishi yasionekane popote, ikiwa ni pamoja na sifa za faili.
Angalia mwongozo kwa waandishi. Unaweza pia kuwasilisha kwa barua pepe kupitia editor.tlajournal [at] tla.or.tz.
