Nyaraka 2

Fomu ya Maombi na Usajili wa Uanachama wa TLA 2026
Fomu ya maombi ya uanachama binafsi. Ambatisha nakala zilizothibitishwa za vyeti na uthibitisho wa malipo ya ada ya maombi na uanachama ya TZS 60,000.

Katiba ya TLA
Katiba ya Chama cha Maktaba na Taarifa Tanzania, iliyopitishwa na Mkutano Mkuu wa Mwaka jijini Arusha tarehe 25 Februari 2005. Inahusu malengo, majukumu, uanachama…
